NI WAKATI WA UCHAGUZI MKUU ,BADO SIKU 21 - Afisa usafirishaji dereva wa pikipiki yakubeba mizigo (GUTA) kura yako ni muhimu kwa maendeleo.
Hakikisha tarehe 29,Oktoba 2025 unafika kwenye kituo ulichojiandikisha ukiwa na kadi yako ya mpiga kura ili kumchagua kiongozi unayemtaka.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe