• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

UNICEF KUPITIA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI (TASAF) YAENDELEA KUBORESHA HALI USAFI KWA WATOTO WA KIKE

Tarehe iliyowekwa: April 29th, 2022

Ikiwa ni katika mikakati ya kupambana na maambukizi ya UVIKO -19 na kuboresha hali ya usafi kwa watoto wa kike, Halmashauri ya Mji Njombe imepokea vifaa vya usafi kwa ajili ya watoto wa kike 1501 katika shule za sekondari ambazo kaya zao zinanufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini ambapo kila mtoto atapatiwa ndoo, taulo za kike, sabuni na nguo za ndani.

Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa hivyo iliyofanyika katika Kata ya Uwemba, Kijiji cha Uwemba Mratibu wa Tasaf Halmashauri ya Mji Njombe Peter Magehema amesema kuwa vifaa hivyo vya usafi vitasambazwa kwa kila mtoto ambaye kaya yake inanufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini katika kata zote Kata 13 za Halmashauri ya Mji Njombe.Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe Kuluthum Sadick ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo ameishukuru UNICEF kwa hatua hiyo kwani itasaidia kwa kiasi kikubwa katika kuhakikisha kuwa watoto wa kike wanasoma katika mazingira safi na salama.

Katika hatua nyingine Kuluthum amewataka watoto hao kuhakikisha kuwa wanasoma kwa bidii bila kujali mazingira waliyotokea kwani kwa sasa elimu wanayoipata ni kwa ajili ya maisha yao na hivyo wasikubali kurubuniwa na kupoteza mwelekeo wao wa elimu.“Nyie mpo shuleni kwa ajili ya kutafuta maisha yenu.Kama kuna vitu ambavyo mzazi wako anakupatia mfano  mahitaji ya shuleni au kama mzazi wako hakupatii hayo ni maisha ya mzazi wako, tunawashukuru kwa kutuleta duniani na kutupatia yale yaliyo kwenye uwezo wao. Lakini nyie mpo kwa ajili ya kuyapambania maisha yenu” Niwaombe msome kwa bidii ili mfaulu mitihani yenu na kuwa na maisha bora” Alisema Kuluthum wakitoa salamu za shukrani mara baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo Efgenia Mwalongo amesema wanashukuru kwa msaada huo kwani utawasaidia kuwa na mazingira salama na huru ya kusoma Shuleni. Miongoni mwa wazazi ambao watoto wao wamenufaika na vifaa hivyo amewataka watoto hao kutunza vifaa hivyo na kuhakikisha usafi wa vifaa hivyo.

Ikiwa ni katika mikakati ya kupambana na maambukizi ya UVIKO -19 na kuboresha hali ya usafi kwa watoto wa kike, Halmashauri ya Mji Njombe imepokea vifaa vya usafi kwa ajili ya watoto wa kike 1501 katika shule za sekondari ambazo kaya zao zinanufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini ambapo kila mtoto atapatiwa ndoo, taulo za kike, sabuni na nguo za ndani.

Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa hivyo iliyofanyika katika Kata ya Uwemba, Kijiji cha Uwemba Mratibu wa Tasaf Halmashauri ya Mji Njombe Peter Magehema amesema kuwa vifaa hivyo vya usafi vitasambazwa kwa kila mtoto ambaye kaya yake inanufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini katika kata zote Kata 13 za Halmashauri ya Mji Njombe.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe Kuluthum Sadick ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo ameishukuru UNICEF kwa hatua hiyo kwani itasaidia kwa kiasi kikubwa katika kuhakikisha kuwa watoto wa kike wanasoma katika mazingira safi na salama.

Katika hatua nyingine Kuluthum amewataka watoto hao kuhakikisha kuwa wanasoma kwa bidii bila kujali mazingira waliyotokea kwani kwa sasa elimu wanayoipata ni kwa ajili ya maisha yao na hivyo wasikubali kurubuniwa na kupoteza mwelekeo wao wa elimu.

“Nyie mpo shuleni kwa ajili ya kutafuta maisha yenu.Kama kuna vitu ambavyo mzazi wako anakupatia mfano  mahitaji ya shuleni au kama mzazi wako hakupatii hayo ni maisha ya mzazi wako, tunawashukuru kwa kutuleta duniani na kutupatia yale yaliyo kwenye uwezo wao. Lakini nyie mpo kwa ajili ya kuyapambania maisha yenu” Niwaombe msome kwa bidii ili mfaulu mitihani yenu na kuwa na maisha bora” Alisema Kuluthum

Wakitoa salamu za shukrani mara baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo Efgenia Mwalongo amesema wanashukuru kwa msaada huo kwani utawasaidia kuwa na mazingira salama na huru ya kusoma Shuleni. Miongoni mwa wazazi ambao watoto wao wamenufaika na vifaa hivyo amewataka watoto hao kutunza vifaa hivyo na kuhakikisha usafi wa vifaa hivyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI,UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI. April 25, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA NJOMBE MHE. JUMA SWEDA ATOA WITO KUHUSU CHANJO YA PILI YA POLIO.

    April 29, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA NJOMBE MJINI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA

    April 24, 2025
  • ZIARA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA NJOMBE KUKAGUA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    April 04, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Njombe awaonya wenyeviti kuhusu uharibifu wa miradi ya maendeleo

    February 15, 2025
  • Angalia zote

Video

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe