Msimamizi wa Uchaguzi Msaidizi Kata ya Njombe Mjini, Bw. Lenatus Mgani amewateua Bw. Nyagawa Ludaliko Atalanga wa Chama Cha Mapinduzi na Bw, Ally Nathaniely Mhagama wa ACT- Wazalendo kuwa wagombea Udiwani Kata ya Njombe Mjini.
Kampeni kwa ajili ya uchaguzi mdogo kwenye Kata hiyo zinaanza tarehe 1 Disemba 2022 na Uchaguzi utafanyika tarehe 17 Disemba 2022
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe