Katibu Tawala Mkoa wa Njombe Bi. Judica Omari,Februari 15,2024 amezindua kampeni ya chanjo ya surua na Rubella Mkoani Njombe.
Uzinduzi huo umefanyika kwenye Zahanati ya Mji Mwema iliyopo kata ya Mji Mwema, Halmashauri ya Mji Njombe.
Katika Uzinduzi huo Bi. Judica ameitaka jamii kuitikia na kuhakikisha watoto wote wenye umri chini ya miaka 5 na wasiopungua miezi 9 wanapatiwa chanjo hiyo iyakayowakinga na ungonjwa wa surua na Rubella.
Malengo ya Mkoa katika kampeni hiyo ni kuchanja watoto 94,343.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe