Zikiwa zimebakia siku 25 kufikia siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais,wabunge na madiwani ,wapiga kura wote mnafahamishwa kuwa vituo vitakavyotumika kupiga kura ni vituo vilivyotumika wakati wa uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura mwaka 2024/2025.
Kumbuka Kura Yako ni Haki Yako ,Jitokeze Kupiga Kura.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe