Wagombea kutoka Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi ya udiwani Kata ya Njombe Mjini.
Kata ya Njombe Mjini ni miongoni mwa kata 12 zinazotarajiwa kufanya uchaguzi mdogo uliotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi utakaofanyika tarehe 17 Desemba, 2022.Zoezi la kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo ya udiwani limeanza tarehe 24 Novemba, 2022 na linaendelea hadi tarehe 30 Novemba, 2022 na uteuzi wa wagombea utafanyika tarehe 30 Novemba 2022.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe