Waalimu 54 kutoka shule za sekondari za Serikali 18 zilizopo Halmashauri ya Mji Machi 05,2024 wamepatiwa mafunzo ya namna yakutumia mfumo wa ununuzi kielektroniki unaofahamika National e –Procurement System of Tanzania (NeST).
Waalimu hao ambao ni wakuu wa shule pamoja waalimu wanaosimamia vitengo vya ununuzi shuleni,wanajengewa uwezo ili kusaidia kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwenye maeneo yao.
NeST (National e-Procurement System of Tanzania ) ni mfumo wa kielektroniki unaowezesha usajili wa zabuni kielektroniki,usimamizi wa mikataba kielektroniki, malipo ya kielektroniki, katalogi na mnada wa kielektroniki.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe