Agosti 30, 2025 Wananchi wa Halmashauri ya Mji Njombe wamejitokeza kwa wingi kufanya usafi wa mazingira katika maeneo yao, ikiwa ni sehemu ya utaratibu wa kila mwisho wa mwezi ulioanzishwa na Halmashauri .
Zoezi hilo limehusisha kusafisha mitaa, mifereji, masoko pamoja na maeneo ya taasisi za umma katika maeneo yote ya Njombe Mjini likiwa na lengo la kuhakikisha mji unabaki katika hali ya usafi na kuvutia.
Usafi wa Mzingira huzuia magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu, homa ya matumbo, malaria na kuhara yanayosababishwa na mazingira macha
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe