• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

WANAUME KUKIMBIA MAJUKUMU NA MILA POTOFU CHANZO CHA UDUMAVU NJOMBE

Tarehe iliyowekwa: October 3rd, 2023

Mkuu wa Wilaya Njombe Mhe Kissa Kasongwa amewataka wananchi hasa wanaume wa kutokimbia majukumu ya malezi kwa mtoto pamoja na kuachana na mila potofu kwa wanawake kuto kula mayai wakidai atapata shida wakati wa kujifungua chanzo kinacho pelekea baadhi ya watoto kuduma .

Amesema hayo Mhe.Kissa Kasongwa alipokuwa akizungunza katika Mkutano wa Akina Mama na wiki ya Kampeni ya Lishe Bora Wilaya Njombe Kata ya Lugenge Halmashauri ya Mji Njombe ambapo amewaomba wananchi wa kata hiyo hasa wanaume kutumia muda mwingi katika kuhudumia watoto kutokana na baadhi ya wanaume kukimbilia mjini mara baada ya kupata fedha.

Amewasihi  wanachi hao kuachana na mila potofu ambazo zimekuwa zikichangia watoto kuduma kutokana na kukosa lishe bora

Akindelea kuzungumza Mhe Kissa ameagiza kila kata iliyopo katika wilaya ya Njombe  kuhakikisha inaunda kikundi cha lishe cha wanawake 10 kwa ajili ya kufuatilia lishe  ili waweze kujadili masuala ya lishe ambacho  kitakuwa na uongozi ambao utabaini  ninani anawaangusha katika kupambana na udumavu na kikundi kitacho fanya vizuri kitapatiwa zawadi ya ng'ombe wa maziwa .

Kwa upande wake diwani  wa Kata ya Lugenge Mhe. Filoteus Mligo  amewaomba wananchi kuacha kutumia muda mwingi katika kazi na kusahau suala la malezi kwa mtoto jambo ambalo linapelekea kuongezeka kwa  Udumavu katika kata hiyo.

Mkazi wa kata hiyo Roida Mgaya amemwomba Mkuu wa wilaya kuwapa semina wanaume ambao  wamekuwa wakiwapa  kazi nyingi wanawake  na kupelekea kushindwa kutekeleza malezi ya mtoto kwa wakati huku wanaume wakipata  fedha  huondoka na kwenda mjini.

Kwa tafiti ambayo imefanyika katika halmashauri ya mji Njombe asilimia 6% ya wakazi wake wanakula mayai.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI,UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI. April 25, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA NJOMBE MHE. JUMA SWEDA ATOA WITO KUHUSU CHANJO YA PILI YA POLIO.

    April 29, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA NJOMBE MJINI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA

    April 24, 2025
  • ZIARA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA NJOMBE KUKAGUA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    April 04, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Njombe awaonya wenyeviti kuhusu uharibifu wa miradi ya maendeleo

    February 15, 2025
  • Angalia zote

Video

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe