• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

WANAWAKE NJOMBE MJINI WAFANYA JAMBO KWA WAHITAJI.

Tarehe iliyowekwa: March 7th, 2024

Wanawake Mjini Njombe kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Njombe Machi 07,2024 wameadhimisha siku ya wanawake duniani  kwa kutembelea wafungwa katika gereza la Wilaya ya Njombe na watoto wenye mahitaji maalumu katika shule ya msingi Kibena.

Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bi.Enembora Lema ameeleza kuwa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kwa Halmashauri ya Mji Njombe mwaka 2024 yalilenga kuwagusa wahitaji kwa kuwapelekea mahitaji ya msingi kwa matumizi yao ya kila siku na kuboresha mazingira yao yakuishi.


Aidha amewashukuru wanawake wote pamoja na wadau mbambali kwa namna walivyojitolea kwa hali na mali kufanikisha kupata mahitaji muhimu kwa maeneo yote mawili.

Akizungumza baada yakukabidhiwa zawadi ambazo zilihusisha vifaa vya ujenzi ,Mkuu wa gereza la Wilaya ya Njombe Mrakibu wa Magereza JY. Njaidi amewashukuru wanawake na wadau wote kwa kuona umuhimu wakuwatembelea  wafungwa gerezani hapo,aidha amwetoa  wito kwa wananchi wengine kuwatembelea  walio gerezani jambo alilosema ni faraja kwao kama sehemu ya jamii.

“Mmetuheshimisha sana na hii inaonesha umuhimu wa mwanamke kwenye jamii ,niseme tuu sisi tupo kwa yeyote atakayeguswa kuja kufanya tendo la huruma tunamkaribisha sana”.Alisema Mrakibu JY.Njaidi.



Naye Mkuu wa Shule ya Msingi Kibena Mwalimu Selestina Tembo amesema mahitaji yaliyowafikia yalikuwa ya muhimu sana kituoni hapo na yataenda kupunguza baadhi ya changamoto walizokuwa nazo.Amewaomba wadau zaidi kujitokeza kutembelea kituo hicho nakuwasaidia watoto hao ambao wanalelewa bila gharama kituoni hapo.

“Vitu vyote mlivyovileta leo ni muhimu na tulivihitaji sana ,tunashukuru kwa namna mlivyoweza kuhamasishana na kuleta vitu vyote hivi.”Alisema Mwl.Selestina.

Kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Machi 08,2024 kitafanyika kimkoa katika Wilaya ya Wanging’ombe.Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani 2024  yanaambatana na kaulimbiu isemayo “Wekaza kwa wanawake kuharakisha mendeleo ya Taifa na Ustawi wa Jamii.”

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI,UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI. April 25, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA NJOMBE MHE. JUMA SWEDA ATOA WITO KUHUSU CHANJO YA PILI YA POLIO.

    April 29, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA NJOMBE MJINI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA

    April 24, 2025
  • ZIARA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA NJOMBE KUKAGUA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    April 04, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Njombe awaonya wenyeviti kuhusu uharibifu wa miradi ya maendeleo

    February 15, 2025
  • Angalia zote

Video

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe