• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU WAPELEKWE SHULENI.

Tarehe iliyowekwa: October 27th, 2023
  • WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU WAPELEKWE SHULENI.

    Na Ichikael Malisa - Njombe

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe Ndugu Kuruthum Sadick, ametoa wito kwa wazazi na walezi wanaoishi na watoto wenye mahitaji maalum kuhakikisha wanawapeleka watoto hao kwenye shule maalumu zilizotengwa.

    Ndugu Kuruthum ametoa rai hiyo Oktoba 25,2023 wakati akikabidhi kiti mwendo kwa mtoto mlemavu mkazi wa kata ya Ramadhani Halmashauri ya Mji Njombe.

    "Mama mtoto huyu mpeleke shule atapata kitu cha ziada akikutana na wenzake, pale kibena si umekwenda nakuona wengine huyu pia anastahili nafasi hiyo. "Alisema Ndugu Kuruthum Sadick.

    Kwa upande wake mganga mkuu wa Halmashauri ya Mji Njombe Daktari Jabir Juma, ametoa msisitizo kwa walezi wa mtoto huyo endapo kutakuwa na changamoto kuendelea kuwasiliana na ofisi ya Mkurugenzi kupitia Ustawi wa Jamii ili waweze kupatiwa ushauri na msaada zaidi.

    " Msikae kimya kwa jambo lolote wasiliana na afisa ustawi, ofisi ipo wazi Msikae kimya"Alisema Mganga mkuu.

    Kwa upande wake afisa ustawi wa Jamii wa Halmashauri ya Mji Njombe Petro Mahanza amekemea vikali tabia ya baadhi ya wazazi na walezi kuwaficha watoto wenye mahitaji maalumu kwani wanawanyima fursa yakupata haki zao za msingi.

    "Msiwafiche wenye ulemavu, tuwaibue ili wapate haki, ofisi yetu ipo wazi kwa ajili yakushughulikia changamoto hasa za watu wenye mahitaji maalum." Alisema Petro mahanza.

    Akizungumza kwa niaba ya Familia Ndugu Tito Mpangale amemshukuru Mkurugenzi kwa kuona umuhimu wakuwasaidi wahitaji.

    " Kiti mwendo hiki kinaenda kuwa msaada mkubwa sana, tulikuwa tunapata changamoto hasa tulipohitaji kumtoa nje.

    Kitimwendo hicho kimenunuliwa kwa fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri ya Mji Njombe.

    10hSee translation


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI,UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI. April 25, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA NJOMBE MHE. JUMA SWEDA ATOA WITO KUHUSU CHANJO YA PILI YA POLIO.

    April 29, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA NJOMBE MJINI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA

    April 24, 2025
  • ZIARA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA NJOMBE KUKAGUA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    April 04, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Njombe awaonya wenyeviti kuhusu uharibifu wa miradi ya maendeleo

    February 15, 2025
  • Angalia zote

Video

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe