ZIMEBAKI SIKU 23 Kufika siku ya Uchaguzi Mkuu ,mwananchi mpiga kura unakumbushwa kutumia haki ya msingi ifikapo Oktoba 29,2025 kujitokeza kupiga kura kumchagua kiongozi unaemtaka.
Kura yako haki yako ,Jitokeze kupiga kura.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe