Ikiwa Leo ni tarehe 23 Agosti 2022 kuashiria kuanza kwa zoezi la Sensa ya Watu na Makazi Kitaifa Wananchi katika Halmashauri ya Mji Njombe wamejitokeza kwa wingi katika maeneo mbalimbali kutoa ushirikiano na kushiriki kikamilifu katika zoezi hilo.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe