• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

"HEBU TUYAJENGE"Yalenga kupunguza Vifo vitokanavyo na VVU/UKIMWI Kwa Watoto na Vijana Njombe

Tarehe iliyowekwa: July 17th, 2021

Ni mafunzo kwa Waheshimiwa Madiwani kutoka katika Kata tano za Halmashauri zitakazotekeleza mradi na Wataalamu mbalimbali yakiendeshwa na Asasi isiyo ya Kiserikali CWCD(Centre for Women and Children Development) kupitia Mradi wa HEBU TUYAJENGE  ambapo mkakati wa mradi huo umelenga kuongeza idadi ya Watoto na Vijana wenye VVU na UKIMWI Katika huduma tiba na matunzo kwa njia njia ya kuboresha rufaa.

Akifungua mafunzo hayo Katibu Tawal Wilaya ya Njombe Emmanuel George amesema kuwa ili  kufanikisha 95 ,95,95 kwa kupima, kujua  afya na kuanza matumizi ya dawa na kwa wale wasiokutwa na maambukizi kuendelea kuihamasisha jamii kujilinda washiriki wanapaswa kuhakikisha kuwa elimu wanayoipata inafika kwa jamii.

“Niwaombe wadau ambao wengi wenu humu ni viongozi kuhakikisha kuwa tunakwenda kupunguza maambukizi kwa kwenda kutekeleza yale yote tutakayojifunza hususani kwa jamii na kwa kuzingatia uwepo wa matukio ya kikatili yaliyopo katika Wilaya ya Njombe.”Alisema Katibu Tawala

Aliendelea kusema “Licha ya kuwa kumekua na Asasi zinazojishughulisha na mapambano ya VVU/UKIMWI bado kuna kundi kubwa la Watendaji, Wenyeviti, Viongozi wa Dini ambao ni muhimu kwao kupatiwa mafunzo haya kwani hao ndio wenye Wananchi na rahisi kwao kuifikia jamii hivyo amezitaka Asasi hizo kuona ni kwa namna gani makundi hayo yanahusishwa ili lengo la kutokomeza unyanyapaa na maambukizi liweze kufanikiwa.”Alisema

Wakizungumza wakati wa kuwasilisha mada mbalimbali juu ya mradi wa Hebu Tuyajenge,Wawezeshaji  kutoka Asasi ya CWCD Epiphania Josephat na  All Mbwego wamesema kuwa kupitia mafunzo hayo ya kutumia gurudumu la rufaa itasaidia kufikia lengo la kuongeza idadi ya Watoto na Vijana katika tiba na matunzo.

Kwa upande wake Katibu wa KONGA Halmashauri ya Mji Njombe John Msofu amesema kuwa jambo kubwa la kipekee ambalo wanatarajia litasaidia kwenda kuleta matokeao chanya kwenye jamii ni ushirikishwaji wa WAVIU kwenye  utekelezaji wa mradi huu jambo ambalo litakwenda kuleta hamasa zaidi kwa jamii. Aidha wameitaka Halmashauri kuhakisha kuwa kwa Asasi zisizo za Kiserikali zinazopenda kutekeleza miradi ya UKIMWI kuhakisha kuwa wanawashirikisha  KONGA (Baraza la Watu wanaoishi na Maambukizi ya VVU Ngazi ya Halmashauri ) badala ya kwenda mojamoja kwenye jamii.

Sambamba na hilo Washiriki pia waliweza kupitia mada mbalimbali ikiwemo hati ya maridhiano kati ya Halmashauri na KONGA ili kutekeleza majukumu na wajibu wao na kwa sasa zoezi la majaribio linaendelea kwa Mawakili Tiba kuendelea kutoa elimu na kuhamasisha jamii wakiwemo Vijana na Watoto na kwa wale wenye maambukizi kuweza kuwaunganisha na huduma.

Ikumbukwe kuwa katika Halmashauri ya Mji Njombe Mradi huo utatekelezwa katika Kata tano za Halmashauri  ikiwemo Njombe Mjini, Mjimwema, Makowo, Yakobi na Uwemba na utadumu kwa muda wa miaka mitano.

 

 

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI,UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI. April 25, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA NJOMBE MHE. JUMA SWEDA ATOA WITO KUHUSU CHANJO YA PILI YA POLIO.

    April 29, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA NJOMBE MJINI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA

    April 24, 2025
  • ZIARA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA NJOMBE KUKAGUA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    April 04, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Njombe awaonya wenyeviti kuhusu uharibifu wa miradi ya maendeleo

    February 15, 2025
  • Angalia zote

Video

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe