• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Halmashauri ya Mji Njombe
Halmashauri ya Mji Njombe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI Halmashauri ya Mji Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

Video za shughuli za ofisi au kitaifa

  • DIWANI KATA YA MAKOWO AIPONGEZA SERIKALI KWA KUWAJALI WANANCHI WA MAKOWO

    June 13th, 2025

    Kata ya Mokowo iliyopo kilomita 90 kutoka Mji wa Njombe ni miongoni mwa kata ambazo wananchi wake walikuwa na kiu ya kufikiwa na huduma mbalimbali ambazo zimewezekana katika kipindi cha miaka 4 ya Uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan .Miongoni mwa kazi kubwa zilizofanywa na Serikali katika kata hii ni pamoja na :Ujenzi wa kituo kipya cha Afya Makowo kwa gharama ya zaidi ya shilingi milioni 600,chenye vifaa tiba vya kisasa ikiwemo mashine ya kidijitali ya mionzi(X-Ray),gari jipya la wagonjwa na chumba chenye vifaa kwa jili kufanya upasuaji pamoja Ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Makowo kwa shilingi milioni 583 ambayo ilikuwa ni kilio cha wananchi cha muda mrefu.Halmashauri ya Mji Njombe tunasema asante wananchi wamefikiwa.

  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA

    January 10th, 2025
  • JE! UNA MASWALI KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA?

    September 18th, 2024
  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA NJOMBE MJINI ATOA ELIMU YA USHIRIKI JUMUISHI WAKATI WA ZOEZI LA KUPIGA KURA.

    September 26, 2025
  • MUENDELEZO WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

    September 24, 2025
  • DC Sweda avutiwa na huduma zinazotolewa kwa wananchi Stendi ya Zamani.

    September 22, 2025
  • DC Sweda avutiwa na huduma zinazotolewa kwa wananchi Stendi ya Zamani.

    September 22, 2025
  • Angalia zote

Video

TANGAZO LA UCHAGUZI JIMBO LA NJOMBE MJINI.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

Kurasa Mashuhuri

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe