• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

Video za shughuli za ofisi au kitaifa

  • TUMEONA MAZURI HAPA KIBENA - DKT.RASHIDI MFAUME

    July 9th, 2024

    Mkurugenzi wa huduma za Afya  lishe na Ustawi wa Jamii kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt.Rashidi Mfaume Julai 1,2024 wakati wa Ziara ya ukaguzi wa huduma za Afya katika Halmashauri ya Mji Njombe ,ametoa pongezi  kwa hospitali ya Mji wa Njombe(Kibena) kwa kuwa na  kitengo cha mfano cha kuhudumia watoto wanaozaliwa na uzito pungufu (Njiti) pamoja na usimamizi mzuri wa usafi wa mazingira uliowezesha hospitali hiyo kushika nafasi ya pili kwenye tuzo za usafi wa mazingira mwaka 2023.

  • TUMEPOKEA USHAURI, TUTAUFANYIA KAZI.

    July 9th, 2024
  • WANANCHI TUNZENI MAZINGIRA; ELIMU YA UCHAGUZI YASISITIZWA NJOMBE MJI

    July 9th, 2024

    Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Ndg.Godfrey Mnzava ameagiza kuendelea kutolewa kwa elimu kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa ili wananchi wachague viongozi sahihi.

     Ametoa maagizo hayo Tarehe 17,2024 wakati akizindua wimbo wa kutoa elimu na kuhamasisha  uchaguzi wa Serikali za mitaa ulioandaliwa na kwaya ya REDEMED GOSPEL CHURCH pamoja nakuwapatia cheti kwaya hiyo iliyopo Mjini Njombe. 

    "Wananchi wakipata elimu itasaidia kujua ni kiongozi wa namna gani wanamtaka na watamchagua kwa sifa zile wanazoziona," amesema Mnzava,Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa mwaka 2024. 

    Mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa katika Halmashauri ya mji zimemamilizika kwa wakimbiza mwenge kuridhia na kuzindua miradi 3 na kukagua miradi 3 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2,173,596,859.00.



    NJOMBE TC




  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UFAULU UNAZIDI KUPANDA ,PONGEZI ZATOLEWA KWA WAALIMU.

    February 14, 2025
  • Mgogoro wa ardhi kati ya familia ya Joseph Wella na Kijiji cha Liwengi wapatiwa maamuzi

    February 13, 2025
  • MGOGORO WA ARDHI IHANGA WATATULIWA

    February 12, 2025
  • MKURUGENZI,HALMASHAURI YA MJI NJOMBE AZUNGUMZA NA WANAFUNZI WA SEKONDARI MPECHI.

    February 11, 2025
  • Angalia zote

Video

ZIFAHAMU FAIDA ZA HERENI YA KIELEKTRONIKI KWA NG'OMBE.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

Kurasa Mashuhuri

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe