Tarehe iliyowekwa: September 19th, 2019
Jumla ya Miradi tisa yenye thamani ya zaidi shilingi bilioni sita imekaguliwa, kuwekewa mawe ya msingi na kuzinduliwa na Mwenge wa Uhuru Septemba 18, 2019 katika Halmashauri ya Mji Njombe ...
Tarehe iliyowekwa: August 8th, 2019
Halmashauri ya Mji Njombe imefanikiwa kutoa mshindi wa Kwanza Kimkoa na wa tatu Kikanda katika kundi la Wakulima kwenye maonyesho ya nane nane mwaka 2019 ambapo Bi. Ajentina Mvile ameibuka kided...
Tarehe iliyowekwa: August 2nd, 2019
Akizungumza wakati wa utiaji sahihi mikataba ya utendaji kazi na usimamizi wa shughuli za lishe kwa Watendaji wa Kata, Mtaa na Vijiji kutoka katika Kata 13 za Halmashauri ya Mji Njom...