Tarehe iliyowekwa: May 17th, 2024
Wananchi wote wanaodiwa kodi ya pango la ardhi wametakiwa kuhakikisha wanalipa kodi hiyo ndani ya siku 30 zilizotangazwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya makazi, Mhe. Jerry Silaa ili kuepuka...
Tarehe iliyowekwa: May 15th, 2024
Jamii Halmashauri Mji Njombe mkoani Njombe imetakiwa kuzingatia malezi kwa watoto hasa katika kipindi hiki cha ukuaji wa sayansi na teknolojia .
Wito Huo umetolewa Mei 15 ,2024 na Ofisa Maend...
Tarehe iliyowekwa: May 14th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mheshimiwa Anthony Mtaka Mei 14,2024, ametoa rai kwa watumishi wa Serikali kufanya uwekezaji kwenye shughuli mbalimbali ili kujiongezea kipato.
Ametoa rai hiyo alipo...