Tarehe iliyowekwa: April 22nd, 2024
Mzazi msaidie binti makini apate chanjo leo.Chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi Itatolewa hadi tarehe 28 Aprili 2024.Mshitue na mwenzako.
...
Tarehe iliyowekwa: April 22nd, 2024
Picha :-Ibada ya Misa Takatifu ya kumuaga mtumishi Bi. Agnetha Mlowe aliyekuwa mwalimu wa shule msingi Sinai iliyopo kata ya Mji Mwema Halmashauri ya Mji Njombe.
Misa hiyo imefanyika katika K...
Tarehe iliyowekwa: April 20th, 2024
Halmashauri ya Mji Njombe katika kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka wa fedha 2021/22 imepokea jumla ya Shilingi Milioni 167. 9 za mfuko wa jimbo kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo jim...