Tarehe iliyowekwa: August 10th, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amesema hayo Leo agosti 10, wakati wa uzinduzi wa soko kuu Njombe lililogharimu kiasi Cha Shilingi Bilioni 10.2
"Adhma ya Serikali ni...
Tarehe iliyowekwa: August 9th, 2022
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Njombe-Makete kutafungua fursa za kiuchumi kwa wananchi wa wilaya hiyo.
Kauli hiyo ameitoa leo Jumanne Agosti 9, 2022 wakati wa...
Tarehe iliyowekwa: August 8th, 2022
Halmashauri ya Mji Njombe imeshika nafasi ya tatu katika maonesho ya Wakulima na Wafugaji Nane nane Kitaifa.Katika maonesho hayo,Halmashauri ya Mji Njombe imeshika nafasi ya tatu kwa kumuibua Mf...