Tarehe iliyowekwa: August 3rd, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Jabir Makame ametembelea banda la maonesho ya Nanenane la Halmashauri ya Mji Njombe, na kujionea fursa mbalimbali za maendeleo na ubunifu wa kilimo zinazotolewa na w...
Tarehe iliyowekwa: August 2nd, 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe Bi.Kuruthum Sadick ametembelea banda la Halmashauri kwenye Maonesho ya Kilimo Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale, Jijini Mbeya.
...
Tarehe iliyowekwa: August 2nd, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Beno Malisa, Agosti 2,2025 amefungua rasmi Maonesho ya 88 ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Kanda ya Nyanda za Juu Kusini yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale jijini M...