Tarehe iliyowekwa: July 24th, 2024
Mkutano wa Baraza la Waheshimiwa Madiwani wa Robo ya nne (4) mwaka wa fedha 2023/2024 unaendelea katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Njombe.
Pamoja na mambo mengine wajumbe wa mkutano huu wamepitia...
Tarehe iliyowekwa: July 23rd, 2024
Mkurugenzi wa Halmshauri ya Mji wa Njombe Bi Kuruthum Sadick amemwomba Mwenyekiti wa Mtaa wa Mji mwema kuanzisha tena upya mchakato wa kutatua mgogoro wa ardhi kati ya Familia ya Mligiliche na S...
Tarehe iliyowekwa: July 22nd, 2024
Mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka 15, uliohusisha mipaka na eneo la malisho kati ya kijiji cha Kisilo kilichopo kata ya Lugenge na kijiji cha Ihalula kilichopo kata ya Utalingolo , Ju...