Tarehe iliyowekwa: May 28th, 2024
Wazazi na walezi katika kijiji cha Luponde wamehimizwa kubadilika kwa kuhakikisha watoto wao wanapatiwa vyakula vinavyotokana na kundi la wanyama kama vile nyama,maziwa,mayai ,wadudu(senene kumbikumbi...
Tarehe iliyowekwa: May 28th, 2024
Afisa lishe wa Halmashauri ya Mji Njombe,Fransisca Mosha katika maadhimisho ya Siku ya Afya na Lishe ya Kijiji (SALIKI) iliyofanyika Mei 28,2024 kijiji cha Luponde ,amewaomba wanaume kuzingatia siku h...
Tarehe iliyowekwa: May 28th, 2024
Mei 28,2024,Wananchi wa kijiji cha Luponde wameshuriwa kupima afya mara waonapo dalili za ugonjwa wa kifua kikuu.
Ushauri huo umetolewa na Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma Halmashauri ya Mji Njombe ...