Tarehe iliyowekwa: July 24th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Mhe.Juma Sweda ,Julai 24,2025 amempokea rasmi mkandarasi kampuni ya China National Aero Technology International Engineering Corporation,atakatekeleza ujenzi wa barabar...
Tarehe iliyowekwa: July 22nd, 2025
Julai 22, 2025 Robert Sabwoya, Mchumi Mwandamizi kutoka Ofisi ya Rais, TAMISEMI, ameongoza timu ya wataalamu kufanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Mji Njombe kwa ajili ya kukagua na kutathmini...
Tarehe iliyowekwa: July 15th, 2025
Watendaji watakaosimamia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 katika mikoa ya Njombe, Iringa na Ruvuma wameanza mafunzo maalum Julai 15, 2025. Mafunzo haya yamelenga kuwajengea uwezo na uelewa wa ...