Tarehe iliyowekwa: October 6th, 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe Bi.Kuruthum Sadick anawatangazia wananchi wote wa Kata ya Kifanya kuwa kuanzia tarehe 8 hadi 21 Oktoba, kutafanyika Kliniki ya Ardhi katika ofisi ya kijiji cha ...
Tarehe iliyowekwa: October 6th, 2025
ZIMEBAKI SIKU 23 Kufika siku ya Uchaguzi Mkuu ,mwananchi mpiga kura unakumbushwa kutumia haki ya msingi ifikapo Oktoba 29,2025 kujitokeza kupiga kura kumchagua kiongozi unaemtaka.
Kura yako haki ya...
Tarehe iliyowekwa: October 5th, 2025
Oktoba 05,2025,Watumishi wa Kitengo cha Ardhi Halmashauri ya Mji Njombe wamefanya hafla fupi ya kumuaga na kumtakia kheri mtumishi mwenzao aliyekuwa akijitolea kama Afisa Ardhi Msaidizi tangu mwaka 20...