Tarehe iliyowekwa: January 9th, 2024
Katibu tawala Mkoa wa Njombe Bi.Judica Omari,Januari 08,2024 ametembelea shule ya mpya ya Sekondari Makowo iliyojengwa kwa gharama ya shilingi 583,000,000 kupitia mradi wa SEQUIP.
...
Tarehe iliyowekwa: January 9th, 2024
Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini Mhe .Chifu Deo Mwanyika amewataka wakazi wa mtaa Mpechi na Joshoni kuhakikisha wanatumia fursa zitakazo jitokeza wakati wa ujenzi wa Chuo...
Tarehe iliyowekwa: January 4th, 2024
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Njombe Mhe.Erasto Mpete ametoa rai kwa wananchi wa kata ya Njombe Mjini kushirikiana na Serikali kwenye maendeleo.
Akizungumza Januari 04,2024 na wananchi wal...