Tarehe iliyowekwa: January 7th, 2021
Halmashauri ya Mji Njombe imeweza kutekeleza kikamilifu agizo la Serikali kwa kuzitaka Halmashauri kutenga bajeti kwa ajili ya ununuzi wa taulo za kike ambapo kiasi cha shilingi milioni kumi kiliweza ...
Tarehe iliyowekwa: December 22nd, 2020
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amefurahishwa na ujenzi wa Vituo vya Afya Kifanya na Makowo ambapo asilimia kubwa ya ujenzi wa vituo hivyo unatekelezwa kutokana na makusanyo ya map...
Tarehe iliyowekwa: December 12th, 2020
Halmashauri ya Mji Njombe imeanza vikao vya awali ikihusisha Wadau wa Maendeleo na Wafanyabiashara kutoka soko la Dodoma lengo ikiwa ni kupata maoni ya utaratibu wa kurejea katika Soko jip...