Tarehe iliyowekwa: October 9th, 2025
VITUO VYA KUPIGIA KURA VITAKUWA WAZI KUANZIA SAA 1 ASUBUHI - SAA 10 JIONI
KURA YAKO HAKI YAKO, JITOKEZE KUPIGA KURA.
#tumehuruyauchaguzi
#kurayakoHakiyako
#jitokezekupigakura
...
Tarehe iliyowekwa: October 8th, 2025
NI WAKATI WA UCHAGUZI MKUU ,BADO SIKU 21 - Afisa usafirishaji dereva wa pikipiki yakubeba mizigo (GUTA) kura yako ni muhimu kwa maendeleo.
Hakikisha tarehe 29,Oktoba 2025 unafika kwenye kituo ulich...
Tarehe iliyowekwa: October 8th, 2025
Idara ya Maendeleo ya Jamii ya Halmashauri ya Mji Njombe kwa kushirikiana na wananchi wa Kijiji cha Boimanda imefanya shughuli za uchimbaji wa mawe na kusoma kwa ajili ya ujenzi wa ofisi y...