Tarehe iliyowekwa: July 15th, 2025
Watendaji watakaosimamia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 katika mikoa ya Njombe, Iringa na Ruvuma wameanza mafunzo maalum Julai 15, 2025. Mafunzo haya yamelenga kuwajengea uwezo na uelewa wa ...
Tarehe iliyowekwa: July 15th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Mhe. Juma Sweda, leo amefanya ziara ya ukaguzi katika zahanati ya kijiji cha Mamongolo Halmashauri ya mji Njombe, kwa lengo la kujionea hali ya utoaji wa huduma za afya na ch...
Tarehe iliyowekwa: July 9th, 2025
Na: Ichikael Malisa
Kwa miaka miwili mfululizo (2024 na 2025), Halmashauri ya Mji Njombe imeendelea kung’ara kitaaluma baada ya wanafunzi wa kidato cha sita kutoka shule za sekondari za serik...