Tarehe iliyowekwa: September 14th, 2023
Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) kanda ya nyanda za juu kusini imesema inaendelea kushughulikia changamoto mbalimbali zinahusu mbolea kwa wakulima.
Meneja wa kanda Ndugu Michael Sanga ...
Tarehe iliyowekwa: September 14th, 2023
Wakala wa uuzaji wa mbolea Wilayani Njombe wametakiwa kuuza mbolea za ruzuku kwa kufuata bei elekezi iliyotolewa na serikali.
Kauli hiyo imetolewa Septemba 13,2023 na Mkuu wa Wila...
Tarehe iliyowekwa: September 12th, 2023
Wafanyabiashara Mjini Njombe wametakiwa kutimiza wajibu wao wakutoa risiti baada huduma ili kuchangia mapato kwa maendeleo.
Kauli hiyo imetolewa Septemba 11, 2023 na Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafany...