Tarehe iliyowekwa: February 4th, 2025
Watumishi wa afya kutoka vituo 42 vya afya katika Halmashauri ya Mji wa Njombe wamepatiwa mafunzo ya matumizi ya Mfumo wa GoTHoMIS, ambao unahusika na usimamizi wa shughuli za uendeshaji wa vituo vya ...
Tarehe iliyowekwa: January 28th, 2025
Januari 28, 2025 Baraza la Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Mji Njombe likiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Erasto Mpete,limepitisha rasimu ya mpango na bajeti ya Shilingi Bilioni 45.6 kwa m...
Tarehe iliyowekwa: January 24th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Mhe. Kissa Gwakisa Kasongwa, ameunda Kamati maalum ya kuchunguza changamoto zinazokumba viwanda vya chai katika wilaya ya Njombe. Kamati hiyo inajumuisha wajumbe kutoka ofisi...