Tarehe iliyowekwa: February 15th, 2024
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Njombe Dkt. Jabir Juma, amewatoa hofu wazazi na walezi juu ya chanjo ya surua na Rubella iliyoanza kutolewa Februari 15,2024.
Dkt Jabir katika Uzinduzi wa...
Tarehe iliyowekwa: February 15th, 2024
Katibu Tawala Mkoa wa Njombe Bi. Judica Omari,Februari 15,2024 amezindua kampeni ya chanjo ya surua na Rubella Mkoani Njombe.
Uzinduzi huo umefanyika kwenye Zahanati ya Mji Mwema iliyopo kata ya Mj...
Tarehe iliyowekwa: February 14th, 2024
Wazazi na walezi Wilaya ya Njombe wamehimizwa kuwapeleka Watoto kupatiwa chanjo dhidi ya ugonjwa wa surua ambao umeonekana ni changamoto kwa Mkoa wa Njombe .
Wito huo umetolewa Februari 13...