Tarehe iliyowekwa: July 3rd, 2023
Wanawake wajasiriamali Halmashauri ya mji njombe wametakiwa kuendelea kushirikiana na kuwezeshana ili kutimiza ndoto zao .
Kauli hiyo imetolewa July 03 ,2023 na Makamu mwenyekiti wa Umoja wa ...
Tarehe iliyowekwa: July 2nd, 2023
Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Dkt. Pindi Chana July 02,2023 amefanya ziara kwenye Eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa michezo mkoani Njombe.
...
Tarehe iliyowekwa: June 28th, 2023
Katibu tawala wilaya ya Njombe Agatha Mhaiki Juni 27,2023 akiwa na kamati ya ulinzi na usalama wilaya pamoja na wataalamu wa halmashauri ya mji Njombe amefanya ziara kukagua maendeleo ya utekelezaji w...