Tarehe iliyowekwa: June 3rd, 2024
Mkuu wa Wilaya Njombe Mhe. Kissa Gwakisa Kasongwa amepiga marufuku ununuzi wa parachichi daraja la Pili (reject) katika Wilaya ya Njombe unaofanyika bila uthibitisho wa kitaalamu na kibali kutok...
Tarehe iliyowekwa: May 31st, 2024
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Njombe Dkt. Jabil Juma amewaagiza wakuu wa vituo vya afya kuhakikisha wanakuwa mstari wa mbele kufuatilia utoaji wa huduma bora kwa wananchi ili kuweza kuleta tija.
...
Tarehe iliyowekwa: May 29th, 2024
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Njombe Mkoa wa Njombe, Erasto Mpete ametembelea barabara Njengelendete hadi Utalingolo kilomita 10 inayotekelezwa kwa kiwango cha changalawe na Wakala wa Barabara za V...