Tarehe iliyowekwa: January 15th, 2024
Timu ya wanafunzi na wakufunzi kutoka chuo cha Ulinzi wa Taifa (NDC) Dar es salaam,inayofanya ziara Mkoani Njombe ,imetembelea kitalu cha uzalishaji wa miche ya parachichi cha NEMES Green Garden kinac...
Tarehe iliyowekwa: January 15th, 2024
Mkuu Mkoa wa Njombe ,Mheshimiwa Anthony Mtaka Januari 15,2024, amepokea ugeni wa wanafunzi wa kozi ya 12 pamoja na wakufunzi kutoka chuo cha Ulinzi wa Taifa (NDC) ukiongozwa na Brigedia Je...
Tarehe iliyowekwa: January 12th, 2024
Wananchi Mkoani Njombe watakiwa kujikita katika malezi kwa watoto ili kuweza kuondokana na udumavu ambao umekuwa changamoto .
Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Ikisa...