Tarehe iliyowekwa: March 3rd, 2023
Mkuu wa Mkoa Njombe Mheshimiwa Antony Mtaka ameongoza viongozi mbali mbali katika mkoa wa Njombe kushuhudia utiaji sahihi wa utekelezaji miradi mbalimbali ya maji katika Mkoa wa Njombe,
Zoezi hili ...
Tarehe iliyowekwa: December 8th, 2022
Halmashauri ya Mji Njombe imekabidhi mradi wa vyumba vitatu vya madarasa kwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe Mheshimiwa Kissa Gwakisa mara baada ya kukamilika kwa asilimia 100.
Mradi huo wa Vyumba vitatu ...
Tarehe iliyowekwa: December 5th, 2022
Wananchi katika Halmashauri ya mji wa Njombe wametakiwa kuongeza juhudi za kuchangia michango ya utoaji taka ngumu katika maeneo yao kwani bila kufanya hivyo mji utakuwa na taka ambazo zinaweza kuwasa...