Tarehe iliyowekwa: August 28th, 2024
Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji Njombe Bi.Kuruthum Sadick Ameiaga Timu ya Kurugenzi ambayo inaiwakilisha
Halmashauri ya Mji Njombe kwenda jijini Mwanza kwa ajili ya mashindano ya...
Tarehe iliyowekwa: August 26th, 2024
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Njombe Agosti 26,2024 limefanya mafunzo ya tahadhari kwa watumishi wa Makao Makuu na vituo vya afya katika Halmashauri ya Mji Njombe.
...
Tarehe iliyowekwa: August 21st, 2024
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka,Agosti 20,2024 alifanya ziara ya kukagua miundombinu mbalimbali iliyojengwa katika Shule mpya ya Msingi Umago iliyopo kata ya Uwemba kwa fedha za TASAF ...