Tarehe iliyowekwa: October 15th, 2025
Kila mwananchi aliyejiandikisha ana haki yakupiga kura kumchagua kiongozi unayemtaka.
Hakikisha Oktoba 29,2025 siku ya Jumatano unajitokeza kwenda kupiga kura.
Unapokwenda kitu...
Tarehe iliyowekwa: October 11th, 2025
Wakulima wa mtaa wa Mpobota - Mjimwema Halmashauri ya mji Njombe wamesisitizwa kutumia mbolea kwa usahihi na kwa kufuata maelekezo ya wataalam wa kilimo ili kuongeza tija katika uzalishaji wa mazao.
...
Tarehe iliyowekwa: October 11th, 2025
Katika jitihada za Serikali kuboresha usimamizi wa ardhi na kuhakikisha wananchi wanamiliki maeneo yao kisheria, Bw.Eligius Wella (Madebe), mkazi na mwekezaji katika kilimo cha parachichi...