Tarehe iliyowekwa: March 4th, 2022
Halmashauri ya Mji Njombe imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi milioni 368,550,000/= kwa vikundi 34 vya wanawake vijana na walemavu katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka 2021/2022 huku shughuli ...
Tarehe iliyowekwa: February 11th, 2022
Baraza la Waheshimiwa Madiwani Halmashauri ya Mji Njombe Leo limepitisha rasimu ya bajeti ya kukusanya jumla ya Shilingi Bilioni 41.39 kwa mwaka 2022/2023,kati yake mapato ya ndani halisi ikiwa n...
Tarehe iliyowekwa: January 16th, 2022
Akizungumza wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Serikali kwa vyombo vya habari Mkoani Njombe, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa Mkoa wa Njombe kwa kipindi cha m...