Tarehe iliyowekwa: May 14th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mheshimiwa Anthony Mtaka Mei 14,2024, ametoa rai kwa watumishi wa Serikali kufanya uwekezaji kwenye shughuli mbalimbali ili kujiongezea kipato.
Ametoa rai hiyo alipo...
Tarehe iliyowekwa: May 14th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mheshimiwa Anthony Mtaka Mei 14,2024, amewataka wakazi Wilaya ya Ludewa iliyopo Mkoa wa Njombe kujiandaa na mradi pacha wa liganga na mchuchuma kwa kuepuka kuuza maeneo yao hovy...
Tarehe iliyowekwa: May 14th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mheshimiwa Anthony Mtaka Mei 14,2024 amekemea vikali kufanyika kwa shughuli za kibinadamu ikiwemo kulisha mifugo pamoja na kufanya kilimo kwenye vyanzo maji.
Hayo...