Tarehe iliyowekwa: August 26th, 2024
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Njombe Agosti 26,2024 limefanya mafunzo ya tahadhari kwa watumishi wa Makao Makuu na vituo vya afya katika Halmashauri ya Mji Njombe.
...
Tarehe iliyowekwa: August 21st, 2024
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka,Agosti 20,2024 alifanya ziara ya kukagua miundombinu mbalimbali iliyojengwa katika Shule mpya ya Msingi Umago iliyopo kata ya Uwemba kwa fedha za TASAF ...
Tarehe iliyowekwa: August 14th, 2024
Mkurugenzi wa Halmashauri wa Mji wa Njombe Bi.Kuruthum Sadick Agosti 14,2024 amefanya kikao kazi na watumishi wote wa makao makuu ya Halmashauri ya Mji Njombe kwa ajili ya kuwapongeza kwa ...