Tarehe iliyowekwa: August 27th, 2025
Wajasiriamali wadogo,mkoani Njombe wameanza kuona matokeo chanya ya mikopo ya asilimia 10% ya Halmashauri, ambapo zaidi ya shilingi bilioni 21 zimeweza kutolewa kwa ajili ya kuwawezesha kiuchumi.
...
Tarehe iliyowekwa: August 23rd, 2025
Akizungumza katika Uwanja wa Mkwakwani, Jijini Tanga, Mhe. Katimba amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri kote nchini kuhakikisha wanatenga fedha za kutosha katika vitengo vya utamaduni na michezo na ku...