Tarehe iliyowekwa: July 31st, 2024
Tunawakaribisha watanzania wote kwenye Banda la Halmashauri ya Mji Njombe .
Karibuni Mjifunze ufugaji wa ng'ombe wa maziwa kibiashara ,Ng'ombe wa Nyama kibiashara,Uzalishaji wa Vifaranga v...
Tarehe iliyowekwa: July 25th, 2024
Uongozi wa Halmashauri ya Mji Njombe, unatambua mchango wa kila mwananchi katika maendeleo.
Aidha tunawashukuru walipa kodi,tozo na ushuru mbalimbali kwa hiari jambo ambalo limeilete...
Tarehe iliyowekwa: July 24th, 2024
Mkutano wa Baraza la Waheshimiwa Madiwani wa Robo ya nne (4) mwaka wa fedha 2023/2024 unaendelea katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Njombe.
Pamoja na mambo mengine wajumbe wa mkutano huu wamepitia...