Tarehe iliyowekwa: August 12th, 2023
Wastaafu wameshauriwa kutumia muda wao vizuri katika kufanya kazi ambazo zitawaingizia kipato ili kuepukana na umaskini.
Rai hiyo imetolewa Agosti 11, 2023 na Mkurugenzi wa ...
Tarehe iliyowekwa: August 11th, 2023
Wananchi wa Mtaa wa Mgodechi uliopo kata ya Ramadhani Halmashauri ya Mji Njombe wamepatiwa elimu ya juu ya kupanga ,kupima na kumilikisha ardhi.
Elimu hiyo imetolewa na kaimu mkuu...
Tarehe iliyowekwa: August 11th, 2023
Jamii imehamasishwa kujitokeza kupata kinga tiba dhidi ya ugonjwa wa Usubi.
Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe kupitia Idara ya Afya na Ustawi wa jamii imeandaa zoezi la ugawaji wa ki...