Tarehe iliyowekwa: August 3rd, 2024
Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa letu ,ili tuweze kunufaika na sekta hii muhimu inatupasa kujifunza nakuongeza ujuzi kila wakati .
Nitumie fursa hii kuwakarihisha katika Maonesho ya ...
Tarehe iliyowekwa: August 2nd, 2024
Karibu kwenye maonesho ya wakulima Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.Wataalamu na wakulima wazoefu pamoja na wajasiriamali wapo kwenye banda la Halmashauri ya Njombe karibu upate Elimu na teknolojia...
Tarehe iliyowekwa: August 1st, 2024
Serikali imechukua hatua za makusudi kuhakikisha pembejeo za kilimo zinapatikana kwa urahisi na kwa bei nafuu.
Pia Serikali inaendelea kuboresha miundombinu kwenye sekta ya umwagilia...