Tarehe iliyowekwa: October 4th, 2025
Zikiwa zimebakia siku 25 kufikia siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais,wabunge na madiwani ,wapiga kura wote mnafahamishwa kuwa vituo vitakavyotumika kupiga kura ni vituo vilivyotumika wakati wa uboreshaji wa...
Tarehe iliyowekwa: October 4th, 2025
Wananchi wote mnakumbushwa kuwa kupiga kura ni haki ya kikatiba hivyo endeleeni kufanya maandalizi kwa kushiriki mikutano ya kampeni inayoendelea ili ifikapo Oktoba 29,2025 muweze kumchagua kiongozi a...