Tarehe iliyowekwa: September 30th, 2022
Katibu Tawala Wilaya ya Njombe George Emmanuel amezindua mwongozo wa usimamizi Elimu Msingi ambapo amewataka Waalimu kuhakikisha kuwa wanausoma mwongozo huo na kutekeleza kwa vitendo.Hayo ...
Tarehe iliyowekwa: September 29th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Njombe Kissa Gwakisa Kasongwa amesema kuwa bado kuna nafasi kubwa ya kuendelea kuifanya Njombe kuwa safi na kijani muda wote kutokana na kuwa Mkoa wa Njombe haujapata athari kubwa za...
Tarehe iliyowekwa: September 28th, 2022
Katibu Tawala Mkoa wa Njombe Judica Omary amesema kuwa bado elimu zaidi inatakiwa kwa Wananchi juu ya namna bora ya uhifadhi wa taka kwa kuzitenganisha na kuachana na tabia ya kuhifadhi taka zote sehe...