Tarehe iliyowekwa: February 14th, 2025
Tarehe 14 Februari 2025, Halmashauri ya Mji Njombe imetoa taulo za kike zenye thamani ya shilingi milioni 15 kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari. Jumla ya wanafunzi wa kike 8,554 watanufaika...
Tarehe iliyowekwa: February 14th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka awapongeza walimu wote wa Shule za msingi kwa kufanya vizuri kwenye matokeo ya darasa la saba mwaka 2024 Mkoa njombe umekuwa wa tatu kitaifa...
Tarehe iliyowekwa: February 13th, 2025
Mgogoro wa ardhi kati ya familia ya Joseph Wella, aliyewahi kuwa mkazi wa Kijiji cha Liwengi Serikali ya kijiji hicho umepatiwa maamuzi Tarehe 11 Februari 2025 na Katibu Tawala wa Wilaya ya Njombe, Bi...