Tarehe iliyowekwa: September 18th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe.Antony Mtaka amefungua mafunzo ya uwasilishaji ,usambazaji na Uhamasishaji wa matumizi ya matokeo ya sensa ya watu na makazi kwa waandishi wa Habari wa Mkoa wa N...
Tarehe iliyowekwa: September 16th, 2023
Katika kuadhimisha siku ya Usafishaji Duniani Septemba 16,2023, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe Ndugu Kuruthum Sadick amesema Halmashauri haitamvumilia mwananchi yeyote, atak...
Tarehe iliyowekwa: September 14th, 2023
Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) kanda ya nyanda za juu kusini imesema inaendelea kushughulikia changamoto mbalimbali zinahusu mbolea kwa wakulima.
Meneja wa kanda Ndugu Michael Sanga ...