Tarehe iliyowekwa: November 15th, 2024
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa fedha zaidi ya shilingi Milioni 583 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kujenga Shule Mpya ya Sekondari ya Amali katika Halmashauri ya Mji Njombe.
...
Tarehe iliyowekwa: November 13th, 2024
Na.Mario Mgimba.
Halmashauri ya Mji Njombe imesaini mkataba na kampuni ya Ubaruku Construction Company Limited (UCCL) kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya barabara katika Kata ya Njombe Mjini.
...
Tarehe iliyowekwa: November 8th, 2024
Na.Ichikael Malisa.
Mkuu wa Wilaya ya Njombe Mhe Kissa Gwakisa Kasongwa Tarehe 08 Novemba 2024 amepokea Matrekta 5 yaliyotolewa na Wizara ya Kilimo kwa ajili ya Kituo cha zana za Kilimo kilichopo H...